Sifanyi kazi na Hakeem 5 - Alikiba

Alikiba

King wa bongo fleva Ali Kiba amesema kwa sasa hawezi kufanya kazi na Hakeem 5 hata kama ikitokea akiomba kolabo kwa kuwa uongozi wake ndiyo utatoa maamuzi ya nani kufanya kolabo na yeye kwa sasa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS