Michuano ya kikapu 'Taifa Cup' yapigwa kalenda

Michuano ya Kikapu

Shirikisho la mpira wa kikapu nchini TBF limesogeza mbele mashindano ya 'Taifa CUP' yaliyotarajiwa kuanza kutimua vumbi kuanzia leo jijini Arusha ambapo sasa yataanza Desemba 04 mwaka huu jijini humo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS