'Mashabiki ndiyo watakaonipa tuzo' - Bright

Bright

Msanii Bright ambaye anawania tuzo ya msanii bora chipukizi kwenye #EATVAwards, amesema ana imani mashabiki wake ndiyo watakaompa ushindi, kutokana na suport kubwa anayoipata kutoka kwao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS