Baadhi ya mashabiki waliofika kushuhudia usiku wa EATV Awards
Wapenzi, wadau na mashabiki wa sanaa Afrika Mashariki wamevunja makabati na kuamua kutokelezea katika mtoko wa tuzo za EATV unaofanyika usiku huu katika ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam.