Wanaotegemea nazi Pangani walia njaa

Jumaa Aweso akiwa kwenye kipindi cha Weekend Breakfast , cha EA Radio

Wakazi wa wilayani Pangani mkoani Tanga waliokuwa wakiishi kwa kutegemea zao la nazi, huenda wakakumbwa na hali mbaya ya maisha ikiwemo njaa kutokana na zao hilo kuyumba wilayani humo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS