Jiji la Arusha laokoa shilingi milioni 364
Halmashauri ya Jiji la Arusha imeokoa zaidi ya shilingi milioni 364 zilizokuwa zitumike kwa ajili ya kuwapa wakandarasi kwa ajili ya kujenga madarasa badala yake kamati za shule kupewa jukumu la kusimamia ujenzi huo badala ya mkandarasi