Pangani nzima sasa yawaka umeme Kata zote kumi na nne katika jimbo la Pangani mkoani Tanga zimefanikiwa kupata umeme kupitia juhudi zilizofanywa na mbunge wa jimbo hilo Mhe. Juma Aweso akishirikiana na wizara ya nishati na madini. Read more about Pangani nzima sasa yawaka umeme