Mwambusi apania kuikamata Simba kileleni
Klabu ya Yanga kesho itashuka dimbani kuchuana na klabu ya Majimaji ya Songea katika mchezo wa raundi ya 18 wa ligi kuu Tanzania Bara ambapo Yanga wamejipanga kupunguza 'gap' kati yao na Simba ambao kwa sasa wapo kileleni mwa ligi wakiwa na point 44