Pep Guardiola naye akumbwa na 4G EPL Kocha wa Man City Pep Guardiola, alikuw akiona kama ndoto hivi Everton imepeleka msiba mzito kwa kocha Pep Guardiola baada ya kuifunga Manchester City mabao 4-0 kwenye mchezo wa ligi kuu ya soka nchini Uingereza. Read more about Pep Guardiola naye akumbwa na 4G EPL