Simba yaifuata Mtibwa Morogoro Kikosi cha Simba Kikosi cha Simba SC tayari kipo Morogoro baaada ya kuondoka leo mchana kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar Jumatano. Read more about Simba yaifuata Mtibwa Morogoro