Mbunge wa Pangani alia na upungufu walimu Jumaa Aweso, Mbunge wa Pangani Wilaya ya Pangani mkoani Tanga inakabiliwa na upungufu wa walimu takriban 27 wa masomo ya Sayansi jambo ambalo linachangia kuathiri taalum ya wanafunzi katika wilaya hiyo Read more about Mbunge wa Pangani alia na upungufu walimu