Simba ni mgonjwa tuliyezoea kumtibu - Cheche
Kocha Msaidizi wa Azam FC Idd Nassoro Cheche, amezidi kutamba mara baada ya kuiongoza timu yake kuichapa Simba mwishoni mwa wiki, ambapo amesema kuwa timu hiyo ya Simba ni kama mgonjwa wao ambaye tayari dawa yake walishaijua.