Mwenyekiti wa CCM Mbeya anusurika kuuawa

Mwenyekiti wa CCM Mbeya Mjini (Aliyekaa) akipeleka hospitali)

Mwenyekiti wa CCM Mbeya Mjini, Efrahim Mwaitenda mwenye umri wa miaka 60 amejeruhiwa kwa kupigwa risasi mgongoni na mtu au watu wasiofahamika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS