Patashika ya AFCON yatinga nusu fainali

Timu ya Taifa ya Misri usiku wa jana imetimiza orodha ya timu nne ambazo zinayapeleka mashindano ya Mataifa Afrika (AFCON 2017) katika hatua ya nusu fainali ikiungana na Ghana, Burkina Faso na Cameroon.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS