Majaliwa alifuata Bunge kwa ndege ya abiria

Waziri Mkuu akipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, baada ya kuwasili mkoani hapo kwa ajili ya vikao vya Bunge

Waziri mkuu Kassim Majaliwa amewasili mkoani Dodoma leo asubuhi kwa ajili kuhudhuria vikao vya bunge  ambavyo vinatarajiwa kuanza kesho Jumanne 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS