Makonda aagiza wahusika wa 'unga' wakamatwe Paul Makonda - Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ameagiza kukamatwa kwa watu aliowataja jana kuhusika na dawa za kulevya ambao hawajajisalimisha kituo cha polisi leo, kama alivyoagiza Read more about Makonda aagiza wahusika wa 'unga' wakamatwe