Yanga ni kicheko kwa kwenda mbele

Timu ya Yanga imeendelea kujihakikishia uongozi wa ligi kuu Tanzania Bara baada ya leo kuvuna ushindi mnono wa bao 4-0 dhidi ya Stand United katika dimba la Taifa Dar es Salaam, na kujiongezea mtaji wa pointi 3 muhimu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS