Simba yasaka point tatu kwa Majimaji
Ligi kuu ya soka Tanzania bara inataraji kuendelea tena kesho Jumamosi ambapo kule Ruvuma mtoto hatumwi dukani kukishuhudiwa wenyeji wanalizombe Majimaji wakiwa na kibarua pevu mbele ya wanalunyasi wekundu wa Msimbazi Simba.