Waamuzi na viingilio Yanga vs Alger, hadharani
Mchezo wa kimataifa wa Raundi ya Pili kati ya Yanga, Tanzania na Mouloudia Club D’Alger ya Algeria unatarajiwa kufanyika kesho Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam ambako utachezeshwa na waaamuzi kutoka Rwanda.

