Ilivyokuwa siku ya kifo cha Hayati Karume
Ni miaka 45 sasa imepita tangu Rais wa Kwanza wa Zanzibar n Sheikh Abeid Amani Karume kuuawa kwa kupigwa risasi katika jengo la Makao Makuu ya Chama cha Afro-Shirazi (ASP) visiwani mjini Zanzibar mnamo tarehe 7 Aprili, 1972.

