Drogba kuwa mchezaji na mmiliki wa klabu Didier Drogba Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Chelsea na timu ya Taifa ya Ivory Coast Didier Drogba amejiunga na klabu ya ligi daraja la kwanza ya Marekani Phoenix Rising kama mchezaji na Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo. Read more about Drogba kuwa mchezaji na mmiliki wa klabu