Mbeya City yaiendea chimbo Yanga Klabu ya ya Mbeya City inayoshirki ligi kuu soka Tanzania bara leo inatarajia kushuka dimbani kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Coastal Union kwenye uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga. Read more about Mbeya City yaiendea chimbo Yanga