Nyalandu atumiwa vitisho Ndg, Lazaro Nyalandu Aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini. Mh. Lazaro Nyalandu ameomba kuombewa yeye pamoja na familia yake kwa kudai kwamba amekuwa akipokea vitisho visivyo na idadi baada ya kuondoka ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Read more about Nyalandu atumiwa vitisho