Serikali yafungia shirika la kutoa mikopo Ofisi ya msajili wa mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) imesimamisha shughuli za Shirika la Tanzania Social Support Foundation (TSSF) kuanzia tarehe 14/11/2017 ili kupisha uchunguzi. Read more about Serikali yafungia shirika la kutoa mikopo