Kigogo wa Takukuru ajisalimisha
Siku moja baada ya Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini TAKUKURU kutangaza donge la shilingi Milioni 10 kwa atakayefanikisha kukamatwa kwa aliyekuwa Mhasibu wa Taasisi hiyo Godfrey Gugai kwa kutuhumiwa kujipatia mali nyingi kinyume