Serikali yazipinga kanuni za SUMATRA
Serikali imefikia uamzi wa kusitisha kuanza kutumika kwa kanuni za leseni ya usafirishaji na kukiri kuwepo kwa mapungufu ya wazi ambayo yanahitaji marekebisho ili kuondoa kasoro zinazoweza kumuonea mmiliki wa chombo husika.