CHADEMA wamjibu Lawrence Masha Baadhi ya wabunge na viongozi wa CHADEMA wametoa maoni yao baada ya mwanachama wao Lawrence Masha kujivua uanachama na kujibu tuhuma alizozitoa zikiwa kama sababu za kujivua kwake. Read more about CHADEMA wamjibu Lawrence Masha