Serikali kuwachukulia hatua wanaosema uongo
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa amewaonya baadhi ya watu wanaoendelea kutoa takwimu za uongo ambazo husababisha taifa kuingia kwenye mvutano na nchi wahisani wa maendeleo kwa kuogopa kusaidia wananchi.