Haya ndio makundi ya Kombe la Dunia 2018 Droo ya Kombe la Dunia 2018 imefanyika leo jioni jijini Moscow nchini Urusi chini ya usimamizi wa mchezaji wa zamani wa England na mfungaji bora wa Kombe la Dunia 1986 Gary Lineker. Read more about Haya ndio makundi ya Kombe la Dunia 2018