Nasari anusurika kupigwa risasi usiku

Mbunge wa Jimbo la arumeru Mashariki Joshua Nassari, amevamiwa na watu wasiojulikana nyumbani kwake Usa River mkoani Arusha, na kunusurika kupigwa na risasi ambazo zimeua mbwa wake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS