Mbunge wa CUF Mtulia ajiuzulu Mbunge wa Jimbo la Kindondoni kwa tiketi ya chama cha CUF , Maulid Said Abdallah Mtulia amejiuzulu uanachama wa chama cha CUF na nafasi zote za uongozi alizokuwa nazo. Read more about Mbunge wa CUF Mtulia ajiuzulu