Maalim Seif alinda Uanachama CUF kwa Mil 600.
Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi Taifa Chama cha Wananchi CUF, Julius Mtatiro amewapongeza viongozi wa Chama chake wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Chama Maalimu Seif kuweza kukamata fedha ambazo zingemfukuzisha Uanachama Katibu huyo.