Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bw. Fidelis Mutakyamirwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Ushauri wa Ardhi. Read more about Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine