Kubenea amuangukia Rais Magufuli

Mbunge wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea amemuomba Rais John Magufuli kumuwajibisha Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi kwa madai kuwa ameshindwa kutimiza wajibu wake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS