Dully Sykes ataja miiko ya muziki

Msanii wa Bongo Flava Dully Sykes, amesema muziki unamiiko yake ambayo kila msanii anapaswa kuifuata ili aweze kuishi kwenye muziki muda mrefu na kujipatia heshima kubwa kupitia kazi yake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS