Refa aomba jezi ya Ronaldo Refa Mark Geiger aliyechezesha mchezo wa Kundi B Kombe la Dunia jana Juni 20, 2018 kati ya Morocco dhidi ya Ureno amedaiwa kumuomba jezi mwanasoka bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo wakati mchezo ukiendelea. Read more about Refa aomba jezi ya Ronaldo