Hakuna binadamu kama Ronaldo tokea dunia kuumbwa

Mkuu wa Habari na Mawasiliano wa Mabingwa wa Ligi Kuu (VPL) Simba SC, Haji Manara amefunguka na kumwagia sifa nyota wa timu ya Taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo huku akidai mchezaji huyo ndio mtu maarufu ulimwenguni kote na mtu pekee aliyepigwa picha nyingi tokea alipoumbwa Adam na Hawa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS