Gambo awaomba BAKWATA kupiga marufuku
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amelitaka Baraza Kuu la Waislamu mkoani Arusha kukemea tabia ya baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu kucheza mchezo wa kareti misikitini na kusisitiza kwamba tabia hizo haifai.