Lipumba, Seif waikosesha CUF Uchaguzi, UKAWA yapaa
Chama Cha Wananchi CUF kimeweka bayana kwamba hakitoshiriki katika uchaguzi huu mdogo wa marudio uliopangwa kufanyika nchini kote Agosti 12 , 2018 baada ya Kamati ya Utendaji kufanya uchambuzi wake na tathmini.