Hatimaye England wafikisha mara tatu
Timu ya taifa ya England imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia kwa mara ya tatu katika historia ya fainali hizo, baada ya kuifunga timu ya taifa ya Sweden kwa mabao 2-0 kwenye mchezo wa robo fainali uliomalizika jioni hii.