Yanga yawajibu Simba kwa mpigo

Kikosi cha Yanga.

Mabingwa wa kihistoria katika soka laTanzania, Yanga imeanza kujibu mapigo ya watani zao wa jadi Simba kwa kunasa saini mpya za wachezaji wawili, ambao watajiunga na klabu hiyo kwa msimu ujao wa Ligi Kuu bara.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS