Mabingwa watetezi Mchenga Bball Stars watoa onyo
Katika mwendelezo wa mechi za hatua ya 16 bora kutafuta timu 8 zitakazocheza robo fainali, Mabingwa watetezi wa michuano ya Sprite Bball Kings, Mchenga Bball Stars wameanza kampeni za kutetea ubingwa wao kwa kutoa kipigo tishio.