Tottenham yawa kinara Kombe la Dunia
Klabu ya Tottenham Hotspur ya England inaoongoza kwa kuwa na wachezaji wengi zaidi kwenye timu 4 za taifa zilizofika hatua ya nusu fainali ya kombe la Dunia linaloendelea nchini Urusi. Nchi hizo ni England, Croatia, Ufaransa pamoja na Ubelgiji.