"Polepole ajifunze kupitia Mwigulu"- CHADEMA

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemtaka Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole kuwa makini na kauli zake anazozitoa kuhusu mikutano ya hadhara lasivyo itakuja kumtokea kama Mwigulu Nchemba alivyofanyiwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS