Jinsi kifuu cha Nazi kinavyosababisha Mabusha
Inakadiriwa kuwa karibu asilimia moja ya wanaume wote kote duniani huathiriwa na ugonjwa wa mabusha, kwa hapa nchini, tatizo hili ni maarufu sana maeneo ya mwambao wa Pwani ya Bahari ya Hindi, mikoa ya Pwani, Tanga na Dar es salaam.