Lugola ataka wazo lake lisipotoshwe
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mh. Kangi Lugola, amedai kauli ya kwamba atafunga bodaboda matela nchi nzima isipotoshwe na kuonekana kwamba amekurupuka na kwamba kipindi hiki yupo kwenye utafiti ambao utaweza kupelekea matokeo chanya yatakayobadilisha sheria na kanuni mbalimbali zilizopo.