Azam FC na Simba watavuka vikwazo ?
Klabu za soka za Azam FC na Simba SC zina nafasi ya kuweka rekodi endapo tu zitafanikiwa kushinda mechi zake za nusu fainali ya michuano ya Kombe la Kagame ambazo zinachezwa leo jioni kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam.