''Temeke sio ya mpira wa miguu tu'' -Temeke Heroes
Timu ya mpira wa Kikapu ya Temeke Heroes ambayo imetinga hatua ya robo fainali ya michuano ya Sprite Bball Kings, imesema kwasasa Temeke imeendelea kwenye mchezo wa Kikapu tofauti na zamani ambapo ilitambulika zaidi kwa mchezo wa soka.