“Hii ndio nyimbo yangu ninayoiheshimu”- Aslay Msanii Aslay. Aslay Isihaka ameanza muziki akiwa mdogo na amefunguka kuwa katika ngoma zake ambazo amewahi fanya hadi sasa wimbo anaouheshimu ni 'Naenda kusema kwa mama'. Read more about “Hii ndio nyimbo yangu ninayoiheshimu”- Aslay