Katiba ya Simba itakayotumika kwenye uchaguzi

Msajili wa Vyama vya Michezo nchini, Ibrahim Mkwawa.

Msajili wa Vyama vya Michezo nchini, Ibrahim Mkwawa, amesema katiba ya Simba iliyosajiliwa mwaka huu 2018 baada ya mapendekezo kutoka kwa wanachama ndiyo itakayotumika katika uchaguzi mkuu ujao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS